Jinsi ya kumfanya mwenzi wako akupende zaidi kwa limbwata rahisi tu

ningependa kuwaletea namna unaweza kumfanya mumeo au mkeo au mtu ulienae katika mahusiano aweze kukupenda sana kupitiliza zaidi ya hapo awali. Aidha, nitoe angalizo tu ikiwa utahitaji kufanya limbwata hili hakikisha na wewe unampenda vilivyo huyo mwenza wako ili baadae usije kumuona karaha.

Hivyo basi, Fatilia namna ya kutengeneza limbwata hili ukiwa mwenyewe.

MAHITAJI,

Nywele za sehem ya siri (Mavu*i) - yawe yako mwenyewe
Kucha za vidole vyote vya mikononi na miguuni
Chungu cheusi
Moto
Mlangami
Unga wa mweunge
Juice / Chai au maji

NAMNA YA KUFANYA

1. Nyoa nywele zako za sehemu ya siri kisha kata kucha za miguuni na mikononi 

2. Weka chungu chako katika moto, hakikisha kimepata moto haswa kisha weka Nyweli pamoja na kucha hizo.

3. Kaanga hadi utapoona unga mweusi, kisha utaepua na kuchanganya na dawa hizi;

4. Kaanga kamba la mlangami upate usila kisha changanya na unga wa mweunge. (Hakikisha dawa hizi umechanganya unga wa hizo kucha na mavu*i).

Tumia mchanganyiko huo kumuwekea katika chakula au kinywaji huku ukinuia namna unavyotaka akupende.


Hadi hapo umekamilisha limbwata lako na sasa subiri muda wa siku 4 uanze kufurahia penzi lako.

Comments

Popular posts from this blog

NAMNA YA UMASIKINI UNAVYOTENGEZWA

WAJUWE WAGOMBEA WA URAISI WA MAREKANI WALIO GOMBEA WAKIWA GEREZANI