NJIA ZA KUWA NA MAFANIKIO KATIKA MAISHA


 Karibuni sana katika blog yetu natumaini ni wazima wote

Leo tumewaletea makala hii ya kuwa na mafanikio katika maisha yako hasa katika uchumi kama unavyojua kila mmja anatamani kuwa na mafanikio mbali mbali mabali katika maisha yake yote kiujumla tusema akuna mtu asiependa kuongezeka au kukua katika mafaniko yake hata nchi kubwa duniani ambazo zina uchumi mzuri lakin bado zinapambana ili ziongezek hizo zote tunaita ni juhudi za kafaniko basi ebu twende tukaone je ni shia zipi za kuweza kuwa na mafanikio 👇👇


      Juhud&jitihada

Ninaposema jjuhud wengi mtakuwa mnaelewa kwa kiasi fulani maan yake itambulikane msingi mkuu wa mafanikio inaanza na juhudi zako amabzobutazifanya ndio maan ata utasikia tajiri wa dunia labda kafungua kiwanda kingine au kabuni kitu kipya zote hizi ndio tunaita juhudi ambayo sasa ww unatakiwa uweke juhudi katika kitu amabcho unachofanya ndiyo maan ata mwanafunzi anaesomana sana ndiyo anafaulu kwaiyo ukiweka jitihad katika kazi yako ni lazima ufanikiwe


   UVUMILIVU

     hili neno uvumilivu ni dogo sana ila katika safari ya mafaniko au katika stage ya kutafuta maisha mazuri lina maan kubwa sana ndiyo maan hat waenga wanasema (mvumilivu hula mbivu) kwa sababu watu weng ambao wapo katika maisha mazuri waliamua kutembea na hili neno bila kuliacha na wakaweza kufika mahali walipo sasa ivi kama ulikuwa aujuwi lolote apa dunianibunalofanya usipo kuwa na uvumilivu uwez fanikiwa lazima utakata tamaa tu


  LAZIMA UWE MTU WA KUNYUMBULIKA /KUBADILIKA

        ninapo sema kunyumbulika, au kubadilika wengi mtakuwa mnashaanga namanisha nini tambua kwamba ili ufanikiwe ni lazima uishi maisha yanavyo enda unakuta mtu alifanyaga biashara yake labda mwaka miaka ya nyuma sas akapata hasara sas akataka kuanzisha biashara nyingn sema bado anakuwa na zile hisia za zaman hii ni hatar apo tunasema bado mtbhuyo aja nyumbulika au kubadilika maan usipo kuwa unabadilika uwez kufikia katika mafanikio maan utakuwa wew kila siku ni mtu wa kusubiria au kubadilishwa na mazingir tu


    UJASIRI

kama unavyojua ujasiri ndio chachu ya ushindi katika kila jambo hasa katika safari ya mafanikio au uchumi mzuri njia hii watu weng huwa wanasema kuwa wanaitumia ila huwa wanaitumia kwa maneno tu bali sio kwa vitendo namanisha kwa vitendo kwa sbabu uwez sema mm ni jasir alaf kwa vitendo unakuwa muoga unakuta mtu anataka aanzishe labda uwekezaji katika kilimo cha mahindi lakin ameongea kwa ujasiri kama nitafanya ila sas kwa vitendo unakuta anaogopa kufanya sasa apa uwez kuwa na mafanikio basip na ujasir ukitak kuwa na maisha mazu lazima uwe jasir kwa kila hatua ya maisha yako


       HESHIMA 

pia njia nyingine ya kuwa na mafanikio uwez niambiy ety ww una dharau alaf ufanikiw katika jambo lako lolote ni uwongo kitu chochote kile ukikifanya kwa heshima au ukikieshimu ninlazima ufanikiwe tuchukulie mfano umesoma sna una PHD yako ukaenda kuomba kazi mahal popote pale lakin una heshima una zarau mpaka wale wanaokup kaz je utawez kufanikiwa kwel utajikuta unakosa fursa nyingi kwa sababu watu weng wenye heshima ndiyo wanapewa kipau mbele hata mwanafunzi shulen mwenya heshima ndiyo anapewa uwongz kwaiyo ukiwa na heshima ninlazim ufanikiwe kwa lolote 


       KUTOPENDA STAREHE SANA

hapa simabishi kwamba usipende stareh apana maan kila mwanadamu anapenda starehe katika maisha yake yote lakin sasa stareh ukipitiliza ninlazima uwanguke katika safar ya mafaniko njia ninayotaka kukuambia ni kwamba starehe zipo na zinazidi kuw mpya kila siku sas wew ambae upo kwenye njia ya kutafuta mafanikio ukilijua hili ninlazima ufanikiwe 

tuchukulie mfano labda BARESA angekuwa anapenda starehe sana asingeweza kujulikan au asingekuwa na mafanikio yoyot kwa sababu ukiziendekez staehe ni lazima utashindwa katika mafaniko yako..... 


         ,... Mwisho..... 

Asante sana kwa muda wako tunakutakia mafanikio mema katika safar ya mafanikio yako ya kila siku

       Pia blog yetu inatoa fursa kwa watu wote wenye matangazo mbalimbali tunawatangazia matangazo yao kwa kiasi cha 10000 kwa sababu blog yetu inataka wew ujulikane na ufike mbali katika kazi zako

  Karibuni sana

  Kwa mawasiliano 0612983194

  Email. Canhboy5@gmail.com

Comments

Post a Comment

Popular posts from this blog

Jinsi ya kumfanya mwenzi wako akupende zaidi kwa limbwata rahisi tu

NAMNA YA UMASIKINI UNAVYOTENGEZWA

WAJUWE WAGOMBEA WA URAISI WA MAREKANI WALIO GOMBEA WAKIWA GEREZANI