Dawa ya kutibu vidonda vya tumbo kabisaa
Unga wa habbat Souda vijiko vitatu (3) vidogo
Maya mawili ya kuku wa kienyeji
Asali mbichi nusu lita
MATAYARISHO NA MATUMIZI
Chukua Unga wa habbat Souda vijiko vitatu
Chukua viini vya mayai ya kienyeji
Changanya katika Asali
MATUMIZI
Kunywa mchanganyiko huo kutwa mara mbili (Asubuhi na jioni) kwa muda wa wiki mbili.
Usisahau ku comment kurudisha feedback
Comments
Post a Comment