Haya ndiyo maswali unapaswa kujiuliza kila siku


Nimekuja Duniani kufanya nini na ninatakiwa niache alama gani.?

Mithali 29: 18

[Pasipo maono watu huangamia bari ana heri mtu yule aishikaye sheria]

Maono -ni sheria

Unatakiwa uiheshimu na uizingatie, ukikiuka kuna madhara yake.

Maombilezo 3: 27

Nivyema kwa mtu kubeba nira/ mzigo wake akiwa badi kijana.

Kuna watu wameandaliwa na adui kwa ajili ya kuua kitu ambacho umekibeba, kuna watu pia wametumwa kuwa maadui wa maono yako.

Kuna watu ambao huwapendi ila wameletwa kwenye maisha yako kukusaidia kujiandaa. 

Kuna mambo ambayo yatakuletea maumivu ila Mungu anajua yatakuwa na faida hapo badae.. Unapo zipitia unaweza usielewe kabisa kwanini Mungu ameziruhusu ila Mungu anajua kwa nini unazipitia

 je malengo yako ni kuwa nani badae? 

       apa ndipo mahali ambapo mwanadamu au mtu yoyote unapaswa kutulia chini sana na kufikiria kwa kina juu ya future yako ya badae je unasoma tu ili ukamilishe Elimu au sera iliyowekwa na serekali ama ni kwa ajili ya ndoto zako ukishajua kwamba usomi au ufanyi kazi ili uweze kupata tu mahitaji yako  ndipo utajua sasa malengo yako ni yapi ila ukiwa unasoma tu ilimradi au unafanya kazi kwa ajili ya maitaji yako autaweza kuishi katika malengo au kuja kuwa mtu fulani badae 

  Kwaiyo unapaswa kufanya kazi kwa ajili ya kuwa mtu fulani badae na sio kwa ajili ya mahitaji yako tu hii ndiyo malengo.... 

  ASANTE SANA KWA KUJIFUNZAKITU ENDELEA KUNIFATILIA UJIFUNZE VITU VIPYA SIKU YAKO ISIISHE BURE UJALISHA UBONGO WAKO 

  

Comments

Popular posts from this blog

Jinsi ya kumfanya mwenzi wako akupende zaidi kwa limbwata rahisi tu

NAMNA YA UMASIKINI UNAVYOTENGEZWA

WAJUWE WAGOMBEA WA URAISI WA MAREKANI WALIO GOMBEA WAKIWA GEREZANI