Jambo la kufanya uweze kufanikiwa katika jamii yako
uweze kuwa na pesa nyingi unatakiwa kuwatazama watu wanaokuzunguka kwa jicho la tatu, huku ukifikiri ni kwa namna gani watu hao watavyokupa pesa zao.
Ili jambo hilo liweze kutekelezeka hatimaye kuchukua pesa za watu hao wanaokuzunguka unatakiwa kuangalia changamoto na matatizo yanayowasonga watu hao kisha watafutie majibu ya changamoto hizo zinazowasonga.
Ukifanya hivyo ni lazima watu hao watakupa pesa tu, kila palipo na changamoto fulani ndipo sehemu palipo na fedha zako, hivyo jifunze kuwa mtafuta suluhisho la matatizo ya watu ili uweze kupata fedha zaidi.
Comments
Post a Comment