Jini wa wanaosaidia katika michezo ya ku bet
Huenda ukawa unapitia katika hali ya sintofahamu katika mambo yako ya kamali na hususani michezo ya kubahatisha maarufu Kama betting. Pengine miaka imeenda na tangu uanze kubet haujawahi kushinda (kula) pesa yoyote ya maana bali umeishia kuwatajirisha tu wenye makampuni. Ili uweze kuibuka mshindi wa bingo kubwa zaidi unahitaji usaidizi wa viumbe. Ni kwa utashi wako tu.
kuna majini au majini maalumu kabisa kwa ajili ya kazi hiyo na humpa ushindi yule aliye rafiki yao. Yupo jini anaitwa Minoson. Wengine humuita Clauneck na majina mengine mengi mengi tu, kwahiyo hajulikani kwa moja pekee kwani kila mtaalamu huja na majina yake kuonyesha utofauti wake ila kiumbe ni huyo huyo tu mmoja.
Minoson au Claunejinack ni moja kati ya majini watumishi wenye nguvu kabisa katika tabaka za majini 72 wafalme au wenye uwezo, mamlaka na asili ya pesa.
Kawenye makundi ya majini, Minoson yupo kwenye kundi la mashetani na yupo karibu zaidi na Lucifer. Yeye pamoja na washirika wake wana watumishi chini yao ambao jumla yake ni arobaini na tano (45). Utapata pesa kwenye kamali zako kupitia yeye kwa njia mbili, kufanya naye mkataba au kumzubaisha akuone wewe ni rafiki yake akupe ushindi kadiri unavyotaka. Kwahiyo lolote hapo linaweza kutokea, ama akusimamie mwenyewe au atakupangia yeyote miongoni mwao watumishi wake asimame na wewe kwenye betting zako.
Ukipata tu alama na muhuri wake yeye huona wewe tayari ni rafiki yake na unamtii na ushindi kwako ni lazima kila unapocheza. Anafanya hivyo kukuruhusu kulingana na makubaliano yenu au kitu alichofanya kwa ajili ya kupata ushindi.
Comments
Post a Comment