Jitibu nguvu za kiume uwe rijali kweli kwa siku 30 tu
njia na dawa kadha wa kadha Mujarrabu kwa ajili ya kukufanya uwe kidume haswa unaposhiriki tendo la ndoa kama ilivyokwisha elezwa huko nyuma.
Zipo pia sababu mbalimbali zinazoweza kupelekea ukosefu wa nguvu za kiume, sitozielezea sana kwani nimekwishazielezea katika makala za nyuma.
Hivyo hapa tutaelekezana dawa hii mujjarabu katika kutatua tatizo la nguvu za kiume hata kama una miaka 100.
MAHITAJI:
Mayai ya kienyeji mawili
Habbat Soda (Unga) Kijiko kimoja
Kitunguu saum
KUANDAA
Vunja mayai mawili kisha koroga vizuri
Weka kijiko kikubwa kimoja cha unga wa habbat Soda.
Saga kitunguu swaumu aghalabu punje 20 na uchanganye katika mchanganyiko
Koroga hadi vichanganyike hasa.
MATUMIZI
Kunywa kutwa mara mbili Asubuhi kabla hujala chochote na wakati wa kulala
Tumia ndani ya siku 30 pekee hakika utaona maajabu ya dawa hiyo.
Comments
Post a Comment