Makosa 9 ambayo yanakufanya usifikie katika mafanikio yako kila siku

 yapo makosa  yamekufanya unashindwa kufikia viwango vile vikubwa vya mafanikio ulivyokusudia.


Na makosa hayo hutaki yajirudie kwako, na hutaki mwingine akutane nayo. Katika makala hii inakuonyesha makosa hayo kwa wazi.


1. Kutokuthubutu, wakati una uwezo wa kuthubutu kufanya hicho unachotakiwa kukifanya na kikakupa mafanikio makubwa.


2. Kutokujifunza elimu sahihi ya fedha na mafanikio mapema, ni kosa ambalo ukilifanya utalijutia sana maishani baadae.


 3. Kufanya biashara ambayo una hadithiwa inalipa na wakati wewe huijui na hujawahi kuifanya na unaingiza pesa za kutosha.


 4. Kuharibu mahusiano ya watu, eidha yawe ya kibiashara au kimapenzi.


5. Kuwa na marafiki ambao sio SAHIHI kwenye maisha yako.


6. Kufanya maamuzi yasiyo sahihi kabla hujafikiria vya kutosha.


 7. Kuwaamini watu ambao hukustahili kuwaamini na ukaamua kuwaelezea kila kitu. Kujiachia sana kwa watu sio kuzuri.


8. Kutokujua kwamba mtaji si pesa tu, hata uaminifu nao ni mtaji mzuri sana, kama ukiutumia kwa uaminifu na uhakika mkubwa.


 9. Kuwa na tabia ya kuishia njiani kwa kila jambo unalolianzisha au uwe mtu wakutimiza jambo lako.

       Wako mwana mapinduzi canhbe. 

Mawasaliano 0675513180 

Comments

Popular posts from this blog

Jinsi ya kumfanya mwenzi wako akupende zaidi kwa limbwata rahisi tu

NAMNA YA UMASIKINI UNAVYOTENGEZWA

NJIA ZA KUWA NA MAFANIKIO KATIKA MAISHA