Namna ya kutumia bure apps zenye pro features mf. Netflix, Adobe, Inshot.


Kwanza Nianze na TAHADHARI kwa Wenye Simu za iPhone na Wenye Simu za Android zilizo chini ya Android 5. Hichi Kipengele kidogo huenda Kikawaletea Shida.

SASA TUANZE SOMO.

.... Creators na Graphics Designer wengi Wanateseka na Apps zenye Kudai Malipo katika Baadhi ya Features mf. Mtumiaji wa PicsArt hawezi Pata Effects zote bila Kulipia (Pro) sasa leo acha tulimalize hilo.


Kuna Website moja ya Jamaa wanajiita MODYOLO CYBERS wameweka Apps nyingi zenye Pro Features na Wameondoa hizo Pro/Premium/VIP katika Hizo App yaani unatumia kila Kitu Bure na Wamefunga Ads (Matangazo) katika App hizo kwahiyo Mwisho wa Siku hakuna Cha Kumbughuzi Editor au Creator.


Ingia Katika Website yao (https://modyolo.com) Upande wa Juu Kulia Utaona Kisanduku Cha Kusearch, kiguse na Andika App yako unayoitaka ambayo una Uhakika Kabisa Ina Pro Features au huwa inadai Hela katika Baadhi ya FEATURES

Endelea... 


ZINGATIA HILI:

... Hakikisha Unafuta App ambayo ipo katika simu yako kwanza kabla ya KuInstall App Fanani (The Same) yaani zisiwe Mbili.. Itakuletea Shida. Mf kama Ulikuwa na BoomPlay ya Kulipia na Unataka ya Bure basi Ifute kwanza hiyo ya Kulipia then Download hiyo ya Bure.


Hizi Hapa Baadhi ya Apps za Bure zinazopatikana (https://modyolo.com) :


NETFLIX APP: https://modyolo.com/netflix.html

BOOMPLAY: https://modyolo.com/boomplay-afmobi.html

PICSART: https://modyolo.com/picsart-photo-editor.html

ADOBE PDF SCAN: https://modyolo.com/adobe-scan-pdf-scanner-ocr.html

VPN MASTER: https://modyolo.com/vpn-master.html

--------------

Nadhani mpaka Hapo Nihitimishe kwa Kukushukuru Wewe Uliechukua tym yako Kusoma Makala hii. Leo Nimeanza na Pro Features Siku Nyingine Nitakuja na Namna ya Kuomba Verification Badge kwa Instagram na Facebook.


Kama Nimekusaidia subscribe πŸ‘ili nipate nguvu zaidi

     MUNGU AWABARIKI SANA πŸ™

Comments

Popular posts from this blog

Jinsi ya kumfanya mwenzi wako akupende zaidi kwa limbwata rahisi tu

NAMNA YA UMASIKINI UNAVYOTENGEZWA

WAJUWE WAGOMBEA WA URAISI WA MAREKANI WALIO GOMBEA WAKIWA GEREZANI