U. T. I sugu na matibabu yake
Ikiwa kwa muda mrefu umekuwa ukisumbuliwa na U.T.I bila mafanikio ya kupona, au imekuwa ni yenye kujirudia mara kwa mara basi hapa tunakushauri utumie dawa hii ya asili na utapona ugonjwa huu moja kwa moja.
MAHITAJI NA MATUMIZI
Majani 7 - 10 ya mlonge
Chemsha majani hayo kwa muda wa dakika 5 - 7
Tumia kunywa kikombe kidogo cha chai kutwa mara tatu
Kunywa kwa muda wa siku 2 - 3 utakua umepona kabisa.
Comments
Post a Comment