KWANINI NDOA NYIINGI ZINAFUNYIKA KILA SIKU

Karibuni tena katika blog yetu ya jifunzekitu

Leo tumewaletea makala ambayo itakupa mwangaza baada ya kumaliza kusoma makala hii


   Kama title yetu inavyosema jambo hili limekuwa kama ugonjwa katika jamii yetu mpaka sasa watu wameshalichukulia kawaida tu na awalifuatili jambo hili leo nitaenda kuonyesha vitu ambvyo vinafaya ndoa au mahusiano kuvunjika


 1=kutamaniana kwa kindi kifupi.

Naposema kutamania wengi mtakuwa mnaelewa unakuta mwanaume amemuona mwanamke akamtamani na na kumfuata yule mwanamke na hata kumuowa na kuzae nae lakin yule mwanaume alimtamani yule mwanamke na akajidanganya kuwa anampenda yule mwanamke na kumuowa sas akisha zaha nae anaanza kumchoka na kumuona kama kero


2=mwenza mmja kubadilika au kucheat

    Sababu hii ni kama kilio sasa katika dunia hii na pia kesi nyingi sana za ndoa ni kucheat na apa tambua kwamba kati ya mwanaum na mwanamke akitokea mmja ap akianza kucheat sas ndiyo upendo unaanza kupungu labda mwanamke ndiyo ameanza kucheat ataanza kumuona mume wake kama mtu ambae ana mahana,atamuhona awez kumuambia chocht, atatamani ata afe, ataakuwa anazarau. Sasa wakat mwanamke anapofanya vit vile vyot tambua mwanaume ataweza kuchika atawz kumpa mwanamke wake talaka


3=ndoa za utotoni

  apa namanisha kwamba unakuta kijana na binti wamependana na wakataka kuowana sasa tambua wanasema ujana ni maji ya moto ndiyo walikuwa wanapenda sana lakin kijana awez kusema ety kwamba watakuwa wametulia utakuta yuke kijana ariziki na yule bint ananza kutafut wasichana wengine kwa kuwa vijana wengi huwa wanaongozwa na muhemko sasa akiwa ameowa awez tulia kwenye ndoa lazima akatafut wanawake wengine wazur zaid ya yule mke wake sasa kama anataft mwanamke wengin ile ndoa ni lazima ivunjike au mahusiano lazim yafe


4=umasikini

Pia sababu nyingine ambayo inasababisha ndoa kuvunjika ni umasikini hii inatokea pale ambapo mwanaume yupo kwenye mahusiano au ameowa lakin kipato chake kipo chini sasa tambua mwanamke anataka kuvaa vizur au anataka kuish maisha mazur lakin yule mwanaum anauwezo wa kumtimizia mahitaj yake yote sasa inasababisha mwanamke anaamua kumuacha yule mwanaume kwa kuwa anaona awez kumuhudumia


5=mwanaume au mwanamke kutopenda kujishusha katika kosa lolote. 

   Sababu hii ia ni moja ya kuvunjka katika ndoa au mahusiano apa kinatokea pale ambapo mfano mwanaume amekosea sasa yule mwanaume ataki kujishusha aunkuomba radhi yaani akiambiwa ukweli anakasirika sas inasababisha tofaut kat ya wapendanao hawa na kufikia mahal hat mmja wao kumuoma mwenzak kama afai au hawaendani na hata kuamua ku move on 


  Hizi ni sababu chache

Itaendelea katika makala ijayo usiache kufuatilia blog hii ya jifunzekitu 

     Pia tunatoa fursa kwa watu wote wenye matangazo yote tunakutangazia tangazo lako kwa kiasi cha 10000 tu 

  Kwa mawasiliano 0612983194

email. Canhboy5@gmail.com

Comments

Popular posts from this blog

Jinsi ya kumfanya mwenzi wako akupende zaidi kwa limbwata rahisi tu

NAMNA YA UMASIKINI UNAVYOTENGEZWA

NJIA ZA KUWA NA MAFANIKIO KATIKA MAISHA