NJIA ZA KUONA FURSA KATIKA JAMII

 jamiii yetu ndiyo mafanikio yetu ya kila siku uweze kusema kwamba ufanikiwi au utasikia mtu analalamika kwamba mimi sifanikiwi ama sipati mafanikio kumekuwa na zana kwamba mafanikio yameumbiwa watu fulani ambao ndiyo wanatakiwa wawe kwenye mafanikio
    Sas leo nimekuletea mbinu chahe za kuwez kuona fursa kwenye jamii
             Kama nilivyo sema apo juu kwamba jamii ndiyo njiaa ya yakufanikiwa na kuwa na uhuru wa kifedha na jamii inayokuzunguka ndiyo inapesa yako kam ulikuwa ujuwii 
  
   Tuanzeee sasa....... 
1)kuwa mtu wa kuchunguza jamii yako inayokuzunguka,...   
   Hapa ndiyo mahali ambapo pana msingi wa mafanikio ambayo unataka kuya chuma katika jamiii inayokuzunguka kwamba ile jamii yako imezungukwa na nini na ile jamii huwa inapenda nin na inataka nini apa ndiyo mahali pakuzingatia 
 Maan usipo ichunguza utaweza kujua tatizo linalokumba jamii

2) kuwa mtu wakushirik katika vikao katika jamii au mikutano au kukah kwenye makundi ya watu wengi.. 
   Pia njia hii ni njia ambayo itakusaidia wew unaetak kuona fursa kwenye jamii kwa maan tambua kwenye ile mikutano kila mtu atakuwa anaongea changamot amabayo inayo kumba ile jamii wewe unakundua tatizo na unaanza kufanyia kazi

3)kuwa mtu unajieshimu na usiwe muhuni au kukaha na makundi ya ajabu. 
Pia mbinu hii ni njia ambayo utaweza kuona fursa katika jamii kwa sabab ukiwa unajiheshimu na ukawa mtu wa busara utaweza kukuah na watu wa rika zote ata wale wazee wa mahali pale na tambu waenga wanasema wazee ni dhahabu na kupitia kuwa nao utawez kuwauliza mambo ambayo yanatesa jamii yao tokea zamani lakin ukiwa muhuni huwez kuwauliza lolote maan watakuona kama mlevi au muhuni 
 
   4) kuwa mtu mbunifu katika jamii. 
  njia hii ni njia ambayo itakufanya uwez kuona fursa kwa urahisi kwa kuwa kila kitu duniani kizuri kinatokama na UBUNIFU apa namanisha kwamba unaweza ukabuni chochote kile katika jamii na na kupitia ubunifu huo ukaanza kuona fursa nyingi katika ubunifu wako mfano jamii yako yako inachangamoto katika kipindi cha kiangazi mifugo ya wafugaji inateseka majani sasa wewe cha kufanya unachofanya wew unatafuta mahali kuna majani mengi unakata majani mengi alaf unayaifazi kweny kichanja unasubiria kiangazi kije unaanza kuwauzia wafugaji majani na kupitia kubuni huk ndiyo unaanza kuona fursa nyingi zaid
      Hizi ni baazi ya njia chache ambazo tumekuletea zipo njia nying sana katika kuona fursa katika jamii 
   Asante kwa kusoma makala yetu katika blog yetu tunawapenda sana na tunazidi kuanda vitu vingi 
   


Comments

Popular posts from this blog

Jinsi ya kumfanya mwenzi wako akupende zaidi kwa limbwata rahisi tu

NAMNA YA UMASIKINI UNAVYOTENGEZWA

WAJUWE WAGOMBEA WA URAISI WA MAREKANI WALIO GOMBEA WAKIWA GEREZANI