Michael Jackson na mazombi
Karibu tena katika blog hii jifunzekit leo nimekuandikai makala hii nzur kwa ajil ya kuamsha ubongo wako na hasira yako ya ndani katika mapinduzi Tuanzeeeee......... Mwaka 2005 lilifanyika tamasha kubwa sana la Muziki nchini Uingereza lililoitwa "Make Poverty History" kwa lengo la kuhimiza nchi zenye uchumi mkubwa G5 kutimiza haki za kiuchumi "economic justice" Kabla ya hili tamasha, mwaka 1985, Michael Jackson aliandika wimbo unaitwa "We are the world" ambao aliimba pamoja na kundi la wanamuziki waliojipa jina la US for Africa kuelezea janga la njaa Afrika. US For Africa iliuza copy zaidi ya millioni 20. Lakini bado Afrika inaandamwa na zimwi la umasikini na sababu kubwa ni hii; ongezeko la uzalishaji mali "productivity growth" haliendi sambamba na ongezeko la idadi ya watu ambao wanakula wasichozalisha "we consume what we don't produce" Takwimu zinaonyesha kwamba matatizo mengi ya kijamii yanatokana na "umasikini" ...