SIFA ZA MALENGO
*SIFA ZA MALENGO* 1. Yawe wazi yaani yaweze kueleweka kwa wepesi 2. Malengo yanatakiwa kuandikwa -Usiweke malengo kichwani peke yake fanya kuandika malengo yako.. 3. Yawe na uhalisia - Usiweke malengo nje ya uhalisia. -Usiweke malengo ya mauzo ya 100M kwa mataji wa 10K. 4. Yaweze kupimika -Usiweke malengo ambayo hayawezi kupimika kwa mda husika. 5. Malengo yategemee na hali ya sasa. - Usiweke malengo nje ya uhakisia wako wa sasa. 6. Yawe na mda maalumu. - Usiweke malengo yasiyo na mda maalumu. Inaweza kuwa mwaka/mwezi. 7. Weka malengo ambayo yanaweza kutekelezeka. - Usiweke malengo magumu sana mpka unaogopa kutekeleza. 8. Malengo hayatakiwi kuwa mengi mpka yakuvuruge. - Utakuta mtu ana malengo mengi mpaka yana mvuruga. 9. Jitaidi malengo yako yakite sehemu nyeti kwenye biashara yak. - Mfano sasa unataka ufike mauzo ya (3,000,000) kwa mwezi (3M) je utafanyaje? - Tumia mbinu- Zingatia kanuni 80/20 rule - Gawanya mauzo 3M kwa siku 30 kwa siku ni mauzo ya 100,000 ...