Posts

SIFA ZA MALENGO

1 Yawe wazi yaani yaweze kueleweka kwa wepesi 2. Malengo yanatakiwa kuandikwa  -Usiweke malengo kichwani peke yake fanya kuandika malengo yako.. 3. Yawe na uhalisia   - Usiweke malengo nje ya uhalisia. -Usiweke malengo ya mauzo ya 100M kwa mataji wa 10K. 4. Yaweze kupimika -Usiweke malengo ambayo hayawezi kupimika kwa mda husika. 5. Malengo yategemee na hali ya sasa. - Usiweke malengo nje ya uhakisia wako wa sasa. 6. Yawe na mda maalumu. - Usiweke malengo yasiyo na mda maalumu. Inaweza kuwa mwaka/mwezi. 7. Weka malengo ambayo yanaweza kutekelezeka. - Usiweke malengo magumu sana mpka unaogopa kutekeleza. 8. Malengo hayatakiwi kuwa mengi mpka yakuvuruge. - Utakuta mtu ana malengo mengi mpaka yana mvuruga. 9. Jitaidi malengo yako yakite sehemu nyeti kwenye biashara yak. - Mfano sasa unataka ufike mauzo ya (3,000,000) kwa mwezi (3M) je utafanyaje? - Tumia mbinu- Zingatia kanuni 80/20 rule - Gawanya mauzo 3M kwa siku 30 kwa siku ni mauzo ya 100,000 (Laki moja) - Gawanya lak...

WAJUWE WAGOMBEA WA URAISI WA MAREKANI WALIO GOMBEA WAKIWA GEREZANI

   DONALD TRUMP   Katika siku ambayo haijawahi kushuhudiwa katika siasa za Marekani, Donald Trump amekuwa rais wa kwanza mstaafu wa Marekani kupatikana na hatia ya uhalifu. Wataalamu wengi wanakubaliana kuwa huenda asitumikie kifungo kwa makosa 34 ambayo amepatikana na hatia katika hukumu itakayo tolewa siku ya Alhamisi katika chumba cha mahakama cha Manhattan. Bado ana uwezo wa kukata rufaa dhidi ya hukumu hiyo - mchakato ambao pengine utaendelea hadi uchaguzi wa Novemba au zaidi. Hata kama hukumu itathibitishwa, huenda akapigwa faini, au akawekwa katika kipindi cha uangalizi. Lakini hata ikiwa atakwenda jela - Trump anaweza kuendelea kuwa mgombea na uwezekano wa kuwa rais wa Marekani akiwa jela.Matakwa ya kisheria kwa wagombea urais hayajabadilika tangu 1789, mwaka ambapo George Washington akiwa rais wa kwanza wa Marekani. "Sifa ya kuwa mgombea ni lazima awe umezaliwa Marekani au katika maeneo yake. Na anapaswa kuwa na umri fulani ambao ni kuanzia umri wa miaka 35,...

NJIA ZA KUWA NA MAFANIKIO KATIKA MAISHA

 Karibuni sana katika blog yetu natumaini ni wazima wote Leo tumewaletea makala hii ya kuwa na mafanikio katika maisha yako hasa katika uchumi kama unavyojua kila mmja anatamani kuwa na mafanikio mbali mbali mabali katika maisha yake yote kiujumla tusema akuna mtu asiependa kuongezeka au kukua katika mafaniko yake hata nchi kubwa duniani ambazo zina uchumi mzuri lakin bado zinapambana ili ziongezek hizo zote tunaita ni juhudi za kafaniko basi ebu twende tukaone je ni shia zipi za kuweza kuwa na mafanikio 👇👇       Juhud&jitihada Ninaposema jjuhud wengi mtakuwa mnaelewa kwa kiasi fulani maan yake itambulikane msingi mkuu wa mafanikio inaanza na juhudi zako amabzobutazifanya ndio maan ata utasikia tajiri wa dunia labda kafungua kiwanda kingine au kabuni kitu kipya zote hizi ndio tunaita juhudi ambayo sasa ww unatakiwa uweke juhudi katika kitu amabcho unachofanya ndiyo maan ata mwanafunzi anaesomana sana ndiyo anafaulu kwaiyo ukiweka jitihad katika kazi yako ni laz...

KWANINI NDOA NYIINGI ZINAFUNYIKA KILA SIKU

NJIA ZA KUONA FURSA KATIKA JAMII

 jamiii yetu ndiyo mafanikio yetu ya kila siku uweze kusema kwamba ufanikiwi au utasikia mtu analalamika kwamba mimi sifanikiwi ama sipati mafanikio kumekuwa na zana kwamba mafanikio yameumbiwa watu fulani ambao ndiyo wanatakiwa wawe kwenye mafanikio     Sas leo nimekuletea mbinu chahe za kuwez kuona fursa kwenye jamii              Kama nilivyo sema apo juu kwamba jamii ndiyo njiaa ya yakufanikiwa na kuwa na uhuru wa kifedha na jamii inayokuzunguka ndiyo inapesa yako kam ulikuwa ujuwii        Tuanzeee sasa.......  1)kuwa mtu wa kuchunguza jamii yako inayokuzunguka,...       Hapa ndiyo mahali ambapo pana msingi wa mafanikio ambayo unataka kuya chuma katika jamiii inayokuzunguka kwamba ile jamii yako imezungukwa na nini na ile jamii huwa inapenda nin na inataka nini apa ndiyo mahali pakuzingatia   Maan usipo ichunguza utaweza kujua tatizo linalokumba jamii 2) kuwa mtu wakushirik k...

DEAR MSOMI STAMINA FT SHOWERBWENZI&NACHA

 stamina anazidi kuwafundisha vijana wote hila huyu mwamba ni hatari sna huwa ajawai kukoseaga ata siku moja dear msomi kaitendea haki sana ukihisikiliza utapata kitu katika helimu yetu             DOWNLOAD HERE Karibu kwenye bloog yetu kwa mziki mpya kila siku pia kama unatangazo lako lolote tunaruhusu kwa kiasi cha elfu kumi tu call 0612983194 

SIFA ZA MALENGO

 *SIFA ZA MALENGO* 1. Yawe wazi yaani yaweze kueleweka kwa wepesi 2. Malengo yanatakiwa kuandikwa  -Usiweke malengo kichwani peke yake fanya kuandika malengo yako.. 3. Yawe na uhalisia   - Usiweke malengo nje ya uhalisia. -Usiweke malengo ya mauzo ya 100M kwa mataji wa 10K. 4. Yaweze kupimika -Usiweke malengo ambayo hayawezi kupimika kwa mda husika. 5. Malengo yategemee na hali ya sasa. - Usiweke malengo nje ya uhakisia wako wa sasa. 6. Yawe na mda maalumu. - Usiweke malengo yasiyo na mda maalumu. Inaweza kuwa mwaka/mwezi. 7. Weka malengo ambayo yanaweza kutekelezeka. - Usiweke malengo magumu sana mpka unaogopa kutekeleza. 8. Malengo hayatakiwi kuwa mengi mpka yakuvuruge. - Utakuta mtu ana malengo mengi mpaka yana mvuruga. 9. Jitaidi malengo yako yakite sehemu nyeti kwenye biashara yak. - Mfano sasa unataka ufike mauzo ya (3,000,000) kwa mwezi (3M) je utafanyaje? - Tumia mbinu- Zingatia kanuni 80/20 rule - Gawanya mauzo 3M kwa siku 30 kwa siku ni mauzo ya 100,000 ...