Posts

KAMA UNADHANI KUNA KITU UNAFICHWA NA MATAJIRI, SAHAU KUHUSU UTAJIRI.

 nilisema kwamba "Ishara ya umasikini mbaya sio ule unaowakosesha watu pesa na mlo wa siku, ila ni ule unaowakosesha watu raha kwenye mafanikio ya wengine."  Tarehe 15/08/2024 saa 2:05 asubuhi nikasema tena "Kinachochelewesha maendeleo ya masikini wengi sio ugumu wa kupata pesa, ila ni ile tabia ya kupoteza muda kufuatilia maendeleo ya watu wengine." Na tarehe 17/08/2024 saa 3:21 asubuhi nilisema tena kwa nukuu mbili mfululizo kwamba   "Hatutofautiani vitu vingi na watu wanaofanya makubwa kwenye hii dunia, ila maarifa na taarifa tulizo nazo ndiyo zinazoamua tujione wa viwango gani na tunaelekea wapi kimaisha."  Na nukuu ya pili ilisema "Kama ambavyo nyanya moja mbovu huozesha tenga zima vikiwa pamoja, ndivyo ambavyo watu walioshindwa mambo mengi kwenye maisha yao hupambana kuwakatisha tamaa wengine." Nukuu hizo zinasadifu hoja mbalimbali ambazo watu wengi wamekuwa wakizitoa kwenye mahojiano ya matajiri wengi pindi wanaposema walianza na viwango f...

SIFA ZA MALENGO

1 Yawe wazi yaani yaweze kueleweka kwa wepesi 2. Malengo yanatakiwa kuandikwa  -Usiweke malengo kichwani peke yake fanya kuandika malengo yako.. 3. Yawe na uhalisia   - Usiweke malengo nje ya uhalisia. -Usiweke malengo ya mauzo ya 100M kwa mataji wa 10K. 4. Yaweze kupimika -Usiweke malengo ambayo hayawezi kupimika kwa mda husika. 5. Malengo yategemee na hali ya sasa. - Usiweke malengo nje ya uhakisia wako wa sasa. 6. Yawe na mda maalumu. - Usiweke malengo yasiyo na mda maalumu. Inaweza kuwa mwaka/mwezi. 7. Weka malengo ambayo yanaweza kutekelezeka. - Usiweke malengo magumu sana mpka unaogopa kutekeleza. 8. Malengo hayatakiwi kuwa mengi mpka yakuvuruge. - Utakuta mtu ana malengo mengi mpaka yana mvuruga. 9. Jitaidi malengo yako yakite sehemu nyeti kwenye biashara yak. - Mfano sasa unataka ufike mauzo ya (3,000,000) kwa mwezi (3M) je utafanyaje? - Tumia mbinu- Zingatia kanuni 80/20 rule - Gawanya mauzo 3M kwa siku 30 kwa siku ni mauzo ya 100,000 (Laki moja) - Gawanya lak...

WAJUWE WAGOMBEA WA URAISI WA MAREKANI WALIO GOMBEA WAKIWA GEREZANI

   DONALD TRUMP   Katika siku ambayo haijawahi kushuhudiwa katika siasa za Marekani, Donald Trump amekuwa rais wa kwanza mstaafu wa Marekani kupatikana na hatia ya uhalifu. Wataalamu wengi wanakubaliana kuwa huenda asitumikie kifungo kwa makosa 34 ambayo amepatikana na hatia katika hukumu itakayo tolewa siku ya Alhamisi katika chumba cha mahakama cha Manhattan. Bado ana uwezo wa kukata rufaa dhidi ya hukumu hiyo - mchakato ambao pengine utaendelea hadi uchaguzi wa Novemba au zaidi. Hata kama hukumu itathibitishwa, huenda akapigwa faini, au akawekwa katika kipindi cha uangalizi. Lakini hata ikiwa atakwenda jela - Trump anaweza kuendelea kuwa mgombea na uwezekano wa kuwa rais wa Marekani akiwa jela.Matakwa ya kisheria kwa wagombea urais hayajabadilika tangu 1789, mwaka ambapo George Washington akiwa rais wa kwanza wa Marekani. "Sifa ya kuwa mgombea ni lazima awe umezaliwa Marekani au katika maeneo yake. Na anapaswa kuwa na umri fulani ambao ni kuanzia umri wa miaka 35,...

NJIA ZA KUWA NA MAFANIKIO KATIKA MAISHA

 Karibuni sana katika blog yetu natumaini ni wazima wote Leo tumewaletea makala hii ya kuwa na mafanikio katika maisha yako hasa katika uchumi kama unavyojua kila mmja anatamani kuwa na mafanikio mbali mbali mabali katika maisha yake yote kiujumla tusema akuna mtu asiependa kuongezeka au kukua katika mafaniko yake hata nchi kubwa duniani ambazo zina uchumi mzuri lakin bado zinapambana ili ziongezek hizo zote tunaita ni juhudi za kafaniko basi ebu twende tukaone je ni shia zipi za kuweza kuwa na mafanikio 👇👇       Juhud&jitihada Ninaposema jjuhud wengi mtakuwa mnaelewa kwa kiasi fulani maan yake itambulikane msingi mkuu wa mafanikio inaanza na juhudi zako amabzobutazifanya ndio maan ata utasikia tajiri wa dunia labda kafungua kiwanda kingine au kabuni kitu kipya zote hizi ndio tunaita juhudi ambayo sasa ww unatakiwa uweke juhudi katika kitu amabcho unachofanya ndiyo maan ata mwanafunzi anaesomana sana ndiyo anafaulu kwaiyo ukiweka jitihad katika kazi yako ni laz...

KWANINI NDOA NYIINGI ZINAFUNYIKA KILA SIKU

NJIA ZA KUONA FURSA KATIKA JAMII

 jamiii yetu ndiyo mafanikio yetu ya kila siku uweze kusema kwamba ufanikiwi au utasikia mtu analalamika kwamba mimi sifanikiwi ama sipati mafanikio kumekuwa na zana kwamba mafanikio yameumbiwa watu fulani ambao ndiyo wanatakiwa wawe kwenye mafanikio     Sas leo nimekuletea mbinu chahe za kuwez kuona fursa kwenye jamii              Kama nilivyo sema apo juu kwamba jamii ndiyo njiaa ya yakufanikiwa na kuwa na uhuru wa kifedha na jamii inayokuzunguka ndiyo inapesa yako kam ulikuwa ujuwii        Tuanzeee sasa.......  1)kuwa mtu wa kuchunguza jamii yako inayokuzunguka,...       Hapa ndiyo mahali ambapo pana msingi wa mafanikio ambayo unataka kuya chuma katika jamiii inayokuzunguka kwamba ile jamii yako imezungukwa na nini na ile jamii huwa inapenda nin na inataka nini apa ndiyo mahali pakuzingatia   Maan usipo ichunguza utaweza kujua tatizo linalokumba jamii 2) kuwa mtu wakushirik k...

DEAR MSOMI STAMINA FT SHOWERBWENZI&NACHA

 stamina anazidi kuwafundisha vijana wote hila huyu mwamba ni hatari sna huwa ajawai kukoseaga ata siku moja dear msomi kaitendea haki sana ukihisikiliza utapata kitu katika helimu yetu             DOWNLOAD HERE Karibu kwenye bloog yetu kwa mziki mpya kila siku pia kama unatangazo lako lolote tunaruhusu kwa kiasi cha elfu kumi tu call 0612983194 

SIFA ZA MALENGO

 *SIFA ZA MALENGO* 1. Yawe wazi yaani yaweze kueleweka kwa wepesi 2. Malengo yanatakiwa kuandikwa  -Usiweke malengo kichwani peke yake fanya kuandika malengo yako.. 3. Yawe na uhalisia   - Usiweke malengo nje ya uhalisia. -Usiweke malengo ya mauzo ya 100M kwa mataji wa 10K. 4. Yaweze kupimika -Usiweke malengo ambayo hayawezi kupimika kwa mda husika. 5. Malengo yategemee na hali ya sasa. - Usiweke malengo nje ya uhakisia wako wa sasa. 6. Yawe na mda maalumu. - Usiweke malengo yasiyo na mda maalumu. Inaweza kuwa mwaka/mwezi. 7. Weka malengo ambayo yanaweza kutekelezeka. - Usiweke malengo magumu sana mpka unaogopa kutekeleza. 8. Malengo hayatakiwi kuwa mengi mpka yakuvuruge. - Utakuta mtu ana malengo mengi mpaka yana mvuruga. 9. Jitaidi malengo yako yakite sehemu nyeti kwenye biashara yak. - Mfano sasa unataka ufike mauzo ya (3,000,000) kwa mwezi (3M) je utafanyaje? - Tumia mbinu- Zingatia kanuni 80/20 rule - Gawanya mauzo 3M kwa siku 30 kwa siku ni mauzo ya 100,000 ...

SIKU YA KWANZA NILIPO INGIA MOCHWARI NILICHO KIONA NI NGUMU SANA KUELEZEA

Tuanzeee.............  Kwanza niliona maneno yameandikwa (TULIKUWA KAMA WEWE). Kuelekea mlango wa kutokea niliona maneno yameandikwa (HIVI KARIBUNI UTAUNGANA NASI). Mh..! Kwa hakika niliogopa sana kuona miili ya watu ikiwa imelazwa katika sakafu pasipo kufunikwa kitu. Kulikuwa na maiti zaidi ya hamsini katika meza za kuoshea maiti,mingine ndani ya majokofu. Kulikuwa na miili ya watu wa jinsia zote.Tukasonga ndani zaidi kuelekea mahali ulipo hifadhiwa mwili wa rafiki yetu.Tulipoufikia mhudumu wa mortuary alifunua na ulikuwa haujavishwa nguo na umelazwa juu ya ubao. Nilimuangalia sana marehemu rafiki yetu akiwa amelala pale utupu,hakuweza hata kufunika utupu wake kwa mikono yake,wala kupinga chochote kile.  Nikajiuliza sana NINI MAANA YA MAISHA? Kwanini tunatumia nguvu nyingi kutaka kumiliki kila kitu katika Dunia hii na wakati mwingine hata kwa kuwaumiza wengine? Kwanini tunakiburi,majivuno na ubinafsi kama tunaimiliki Dunia na pumzi ya uhai wetu? Kwanini hatuwezi hata kuwasam...

Michael Jackson na mazombi

    Karibu tena katika blog hii jifunzekit leo nimekuandikai makala hii nzur kwa ajil ya kuamsha ubongo wako na hasira yako ya ndani katika mapinduzi  Tuanzeeeee.........  Mwaka 2005 lilifanyika tamasha kubwa sana la Muziki nchini Uingereza lililoitwa "Make Poverty History" kwa lengo la kuhimiza nchi zenye uchumi mkubwa G5 kutimiza haki za kiuchumi "economic justice" Kabla ya hili tamasha, mwaka 1985, Michael Jackson aliandika wimbo unaitwa "We are the world" ambao aliimba pamoja na kundi la wanamuziki waliojipa jina la US for Africa kuelezea janga la njaa Afrika. US For Africa iliuza copy zaidi ya millioni 20. Lakini bado Afrika inaandamwa na zimwi la umasikini na sababu kubwa ni hii; ongezeko la uzalishaji mali "productivity growth" haliendi sambamba na ongezeko la idadi ya watu ambao wanakula wasichozalisha "we consume what we don't produce" Takwimu zinaonyesha kwamba matatizo mengi ya kijamii yanatokana na "umasikini" ...

Utabiri wa nyota Aliamisi 18/4/2024

 USOMAJI NYOTA ALHAMISI 18/4/2024 MBUZI Mtu anajuta kukutupa mbali, anaweza kuwa anarudi. Usiwaze kuhusu siku zijazo, usiwaze katika kichwa chako kuhusu hilo! Kila kitu kitageuka kuwa cha kushangaza. Hivi karibuni utapata msamaha huo kutoka kwa mtu wako. Pesa nyingi zitaingia (July). Maisha ya anasa. Mtu anafikiria kuwa umemkasirikia ndiomana anajishtukia. Kumuokoa mnyama.  NDOO Mtu atalipia kutengeneza kucha zako. Kurejeshewa (refund) kitu. Kuona rangi halisi za mtu kazini. Kupandishwa cheo na kuwa kiongozi wa zamu. Kupatana na ex wako, na kumpa nafasi ya mwisho. Video yako kusambaa mbali kwenye TikTok. Mazuri zaidi bado yanakuja. Kupanuka katika maisha yako, hakuna tena kukwama katika sehemu moja, kueneza mbawa zako yaani kujiachia. Milango mipya inafunguliwa mwezi May. Barabara ya utajiri. Kuona 777.  SAMAKI Chochote unachokihairisha kifanye! Kupata unafuu mwingi juu ya hali yako ya kifedha. Kuumiza kichwa wakati mtu wako anafikiria kupita kiasi kuhusu wewe. Kujisikia ...

Utabiri wa nyota wa jumanne 16/4/2024

 USOMAJI NYOTA JUMANNE 16/4/2024 MBUZI Chakata mambo kwanza kabla ya kufanya maamuzi yoyote zaidi. Kutaka kutumia muda peke yako? Au kujikuta ukitumia muda fulani peke yako. Kupata mapenzi mapya baada ya kuteseka na mshtuko wa moyo (heartbreak). Kukutana na ex na kuanzisha upya mambo. Rafiki atakusaidia kwa njia kubwa iwezekanavyo. Kupata faida zaidi kwenye malipo kuliko kawaida. Kuchukulia mitandao ya kijamii kwa uzito zaidi.  NDOO Mtu uliyemsahau anakaribia kuleta visa (drama). Mama yako ataku surprise kwa kitu kikubwa, inaweza kuwa gari kwa wengineo! Kuacha kazi yako, ukihisi kutakiwa kufanya hivyo. Kujisikia kubarikiwa zaidi ya unavyolinganishwa. Kuona mambo katika mtazamo chanya. Kujifunza kuachana na mtu wa tangu miaka hiyo iliyopita, hatimaye kukata tamaa ya kupatanishwa. Kuanza kazi mpya, hii inakuja wakati unahitaji sana.  SAMAKI Huenda ukapata deja Vu leo yaani kuona matukio ambao huenda yalikwishatokea kwenye maisha yako ya zamani kabla hujazaliwa upya ukahisi ...

Utabiri wa nyota jamatatu tarehe 15/4/2024

USOMAJI NYOTA JUMATATU 15/4/2024  PUNDA Kadri unapoendelea kujichagua we mwenyewe na kujiweka sawa kimaisha na kuanza uponyaji, huyu ex ambaye anaweza kuwa ni mwenye nyota ya Ndoo atajaribu kurudi. Unaweza kuzungumza kama marafiki ikiwa unataka, lakini usije kuanguka au kunasa kwa maneno yake. NG'OMBE Najua umekuwa mchovu sana hivi majuzi na unahisi kuvunjika moyo. Nahitaji ujue kuwa ni zamu yako inayokuja sasa kuwa na furaha. Ni wakati wa wewe kuwa na furaha, utulivu wa kifedha, katika mapenzi na udhibiti wa maisha yako na siku zijazo. MAPACHA Pindi unapohitaji kufanya kitu muhimu, chochote ambacho kinaweza kwenda vibaya, kinaenda vibaya siku ambayo unahitaji amani kufanya kitu muhimu. Mtu anakuombea anguko lako wiki hii, ana mipango mibaya dhidi yako. Endelea kuombewa upate ulinzi. Una mtu wa zamani anayerudi. Lakini unaonywa usipoteze kile unachohitaji kufanya. Una mambo ambayo unapaswa kufanya na kuzingatia kwa sasa. Umefika mbali sana na maisha yako na huhitaji kuwa na vikwazo...

Kwako mwanaume

 *Kwako Mwanaume!!! Utapoteza Mke Kwa Umasikini Unaonuk Ukiwa huna kazi, huna biashara, huna hela na huna namna ya kupata hela "mbele giza na nyuma giza" na wewe ni baba wa familia, mtafute mwanaume mwenzako unayemuamini awe ndugu au rafiki mkae msaidiane mawazo au namna ya kufanya kabla haujamwambia mkeo.  Hakuna kitu wanawake wengi "wa sasa" hivi hasa wa mjini "vijijini sio sana" wanachanganyikiwa wanapogundua "baba wa familia" yaani "provider" huna mbele wala nyuma na huna majibu ya umasikini unaonukia. Unaweza "ukampoteza" au akaomba ushauri "kwa watu wasiojulikana" na kupata "majibu yasiyojulikana". Usiposoma "between lines" unaweza usinielewe lakini kuna siku utanikumbuka

Kuajiriwa ni utumwa?

Karibu kweny makala hii ya jifunzekitu natumaini wewe ni mzima wa afya kabisa karibu tuanze madaaaa..  Vitu vya kukuingizia kipato huwezi kuvijua na kuvifanya kwa kuvisoma tu hata wakikupa vitabu 1,000 au ukiangalia video 10,000. Kusoma sawa inakupa "basics" au msingi lakini lazima uanze kuvifanya "on job training" na "performance" Ule msemo "experience is the best teacher" ni ukweli 💯. Hata kama hutaki kukosea basi uwe pembeni ya mtu anayefanya hicho kitu bega kwa bega, mguu kwa mguu kama mapacha walioungana. Na bado usipofanya kuna mahali utakwama tu! Ukichunguza utagundua wafanyabiashara wenye maduka Ilala au Mwenge walikuwa wameajiriwa maduka ya kariakoo. Iwe ni kuuza "spare" za magari au nguo. Wenye "clinics" nyingi mtaani walikuwa wameajiriwa Muhimbili au Mwananyamala! Hii ina maana kubwa sana kwamba usidharau ajira hata kidogo. Hata kama una mshahara kidogo heshimu sana kazi yako na mheshimu sana mwajiri wako. Tena kuw...
 SHERIA TATU ZA UTAJIRI         Karibu sana kwa kupata mda mzuri wa kuweza kujifunza kitu kipya katika makala hii amabayo nimekuandalia wewe msomaji wangu     Tuendeelee........    Duniani pote kila kitu kina sheri ambazo zinawekwa au zinatumika ili anaezifuata afike katika namna bora kiujumla sheria zipo nyingi sana natumaini wewe msomaji wangu unazijua na unazisikia pia na ijulikane kuwa sheria sio amri apana bali nikama kiongozi cha kufuata jambo fulani sasa basi katika kufanikiwa katika fedha na kuweza kuwa na uhuru wa kifedha pia kuna sheria zake    Je sheria hizo ni zipi sasa izo apo chini   .MAKE MONEY . USE MONEY TO MAKE MORE MONEY . REPEAT hizo ndiyo sheria zetu tatu za kuweza kukusaidia uweze kufanikiwa na kuondokana na umasikini kabisa kwa kuzifuata sheria hizo tatu ambazo matajiri wengi duniani pote hutumia mbinu hizi kufanikiwa na kuzidi kuwa na uhuru wa kifedha kwa maan wanafata sheria hizi na hawawez kukuam...

Jambo la kufanya uweze kufanikiwa katika jamii yako

 uweze kuwa na pesa nyingi unatakiwa kuwatazama watu wanaokuzunguka kwa jicho la tatu, huku ukifikiri ni kwa namna gani watu hao watavyokupa pesa zao. Ili jambo hilo liweze kutekelezeka hatimaye kuchukua pesa za watu hao wanaokuzunguka unatakiwa kuangalia changamoto na matatizo yanayowasonga watu hao kisha watafutie majibu ya changamoto hizo zinazowasonga. Ukifanya hivyo ni lazima watu hao watakupa pesa tu, kila palipo na changamoto fulani ndipo sehemu palipo na fedha zako, hivyo jifunze kuwa mtafuta suluhisho la matatizo ya watu ili uweze kupata fedha zaidi. 

Jinsi ya kumfanya mwenzi wako akupende zaidi kwa limbwata rahisi tu

ningependa kuwaletea namna unaweza kumfanya mumeo au mkeo au mtu ulienae katika mahusiano aweze kukupenda sana kupitiliza zaidi ya hapo awali. Aidha, nitoe angalizo tu ikiwa utahitaji kufanya limbwata hili hakikisha na wewe unampenda vilivyo huyo mwenza wako ili baadae usije kumuona karaha. Hivyo basi, Fatilia namna ya kutengeneza limbwata hili ukiwa mwenyewe. MAHITAJI, Nywele za sehem ya siri (Mavu*i) - yawe yako mwenyewe Kucha za vidole vyote vya mikononi na miguuni Chungu cheusi Moto Mlangami Unga wa mweunge Juice / Chai au maji NAMNA YA KUFANYA 1. Nyoa nywele zako za sehemu ya siri kisha kata kucha za miguuni na mikononi  2. Weka chungu chako katika moto, hakikisha kimepata moto haswa kisha weka Nyweli pamoja na kucha hizo. 3. Kaanga hadi utapoona unga mweusi, kisha utaepua na kuchanganya na dawa hizi; 4. Kaanga kamba la mlangami upate usila kisha changanya na unga wa mweunge. (Hakikisha dawa hizi umechanganya unga wa hizo kucha na mavu*i). Tumia mchanganyiko huo kumuwekea kati...

Dawa ya kumtibu mgonjwawa kichaaa kwa siku 20-40 tu

Naposema mgonjwa wa kichaa na maanisha mtu aliezaliwa mzima kabisa na akili zake timamu na baadae kuugua ukichaa kwa sababu yoyote ile. Hivyo ninae mmaanisha hapa si MLEMAVU WA AKILI!!  Hivyo basi, ili Kumsaidia mtu huyo aliepatwa na ugonjwa wa kichaa unatakiwa ufate mambo hayo! ANDAA  Jumba la konokono Bangi na kisamvu MATAYARISHO Changanya KISAMVU NA BANGI Twanga pamoja hadi liwe laini kabisa kisha tia kwenye hilo. Jumba la konokono baada ya hapo Jaza Mkojo Katika hilo JUMBA Kisha Mnyweshe Mgonjwaa Asubuhi na Jioni! Katika kipindi chote cha tiba Haikisha Maji anayotumia mgonjwa kunywa na kuoga yasiwe ya Bomba wala MTO unao tiririsha maji Bali yawe ya kisima Tulivu kabisaa!! Fanya ndani ya siku 20-40, Inshallah Mgonjwa wako atakua Amepona kabisa

Jini wa wanaosaidia katika michezo ya ku bet

Huenda ukawa unapitia katika hali ya sintofahamu katika mambo yako ya kamali na hususani michezo ya kubahatisha maarufu Kama betting. Pengine miaka imeenda na tangu uanze kubet haujawahi kushinda (kula) pesa yoyote ya maana bali umeishia kuwatajirisha tu wenye makampuni. Ili uweze kuibuka mshindi wa bingo kubwa zaidi unahitaji usaidizi wa viumbe. Ni kwa utashi wako tu.  kuna majini au majini maalumu kabisa kwa ajili ya kazi hiyo na humpa ushindi yule aliye rafiki yao. Yupo jini anaitwa Minoson. Wengine humuita Clauneck na majina mengine mengi mengi tu, kwahiyo hajulikani kwa moja pekee kwani kila mtaalamu huja na majina yake kuonyesha utofauti wake ila kiumbe ni huyo huyo tu mmoja.  Minoson au Claunejinack ni moja kati ya majini watumishi wenye nguvu kabisa katika tabaka za majini 72 wafalme au wenye uwezo, mamlaka na asili ya pesa.  Kawenye makundi ya majini, Minoson yupo kwenye kundi la mashetani na yupo karibu zaidi na Lucifer. Yeye pamoja na washirika wake wana watu...