Posts

Showing posts from April, 2024

Michael Jackson na mazombi

    Karibu tena katika blog hii jifunzekit leo nimekuandikai makala hii nzur kwa ajil ya kuamsha ubongo wako na hasira yako ya ndani katika mapinduzi  Tuanzeeeee.........  Mwaka 2005 lilifanyika tamasha kubwa sana la Muziki nchini Uingereza lililoitwa "Make Poverty History" kwa lengo la kuhimiza nchi zenye uchumi mkubwa G5 kutimiza haki za kiuchumi "economic justice" Kabla ya hili tamasha, mwaka 1985, Michael Jackson aliandika wimbo unaitwa "We are the world" ambao aliimba pamoja na kundi la wanamuziki waliojipa jina la US for Africa kuelezea janga la njaa Afrika. US For Africa iliuza copy zaidi ya millioni 20. Lakini bado Afrika inaandamwa na zimwi la umasikini na sababu kubwa ni hii; ongezeko la uzalishaji mali "productivity growth" haliendi sambamba na ongezeko la idadi ya watu ambao wanakula wasichozalisha "we consume what we don't produce" Takwimu zinaonyesha kwamba matatizo mengi ya kijamii yanatokana na "umasikini" ...

Utabiri wa nyota Aliamisi 18/4/2024

 USOMAJI NYOTA ALHAMISI 18/4/2024 MBUZI Mtu anajuta kukutupa mbali, anaweza kuwa anarudi. Usiwaze kuhusu siku zijazo, usiwaze katika kichwa chako kuhusu hilo! Kila kitu kitageuka kuwa cha kushangaza. Hivi karibuni utapata msamaha huo kutoka kwa mtu wako. Pesa nyingi zitaingia (July). Maisha ya anasa. Mtu anafikiria kuwa umemkasirikia ndiomana anajishtukia. Kumuokoa mnyama.  NDOO Mtu atalipia kutengeneza kucha zako. Kurejeshewa (refund) kitu. Kuona rangi halisi za mtu kazini. Kupandishwa cheo na kuwa kiongozi wa zamu. Kupatana na ex wako, na kumpa nafasi ya mwisho. Video yako kusambaa mbali kwenye TikTok. Mazuri zaidi bado yanakuja. Kupanuka katika maisha yako, hakuna tena kukwama katika sehemu moja, kueneza mbawa zako yaani kujiachia. Milango mipya inafunguliwa mwezi May. Barabara ya utajiri. Kuona 777.  SAMAKI Chochote unachokihairisha kifanye! Kupata unafuu mwingi juu ya hali yako ya kifedha. Kuumiza kichwa wakati mtu wako anafikiria kupita kiasi kuhusu wewe. Kujisikia ...

Utabiri wa nyota wa jumanne 16/4/2024

 USOMAJI NYOTA JUMANNE 16/4/2024 MBUZI Chakata mambo kwanza kabla ya kufanya maamuzi yoyote zaidi. Kutaka kutumia muda peke yako? Au kujikuta ukitumia muda fulani peke yako. Kupata mapenzi mapya baada ya kuteseka na mshtuko wa moyo (heartbreak). Kukutana na ex na kuanzisha upya mambo. Rafiki atakusaidia kwa njia kubwa iwezekanavyo. Kupata faida zaidi kwenye malipo kuliko kawaida. Kuchukulia mitandao ya kijamii kwa uzito zaidi.  NDOO Mtu uliyemsahau anakaribia kuleta visa (drama). Mama yako ataku surprise kwa kitu kikubwa, inaweza kuwa gari kwa wengineo! Kuacha kazi yako, ukihisi kutakiwa kufanya hivyo. Kujisikia kubarikiwa zaidi ya unavyolinganishwa. Kuona mambo katika mtazamo chanya. Kujifunza kuachana na mtu wa tangu miaka hiyo iliyopita, hatimaye kukata tamaa ya kupatanishwa. Kuanza kazi mpya, hii inakuja wakati unahitaji sana.  SAMAKI Huenda ukapata deja Vu leo yaani kuona matukio ambao huenda yalikwishatokea kwenye maisha yako ya zamani kabla hujazaliwa upya ukahisi ...

Utabiri wa nyota jamatatu tarehe 15/4/2024

USOMAJI NYOTA JUMATATU 15/4/2024  PUNDA Kadri unapoendelea kujichagua we mwenyewe na kujiweka sawa kimaisha na kuanza uponyaji, huyu ex ambaye anaweza kuwa ni mwenye nyota ya Ndoo atajaribu kurudi. Unaweza kuzungumza kama marafiki ikiwa unataka, lakini usije kuanguka au kunasa kwa maneno yake. NG'OMBE Najua umekuwa mchovu sana hivi majuzi na unahisi kuvunjika moyo. Nahitaji ujue kuwa ni zamu yako inayokuja sasa kuwa na furaha. Ni wakati wa wewe kuwa na furaha, utulivu wa kifedha, katika mapenzi na udhibiti wa maisha yako na siku zijazo. MAPACHA Pindi unapohitaji kufanya kitu muhimu, chochote ambacho kinaweza kwenda vibaya, kinaenda vibaya siku ambayo unahitaji amani kufanya kitu muhimu. Mtu anakuombea anguko lako wiki hii, ana mipango mibaya dhidi yako. Endelea kuombewa upate ulinzi. Una mtu wa zamani anayerudi. Lakini unaonywa usipoteze kile unachohitaji kufanya. Una mambo ambayo unapaswa kufanya na kuzingatia kwa sasa. Umefika mbali sana na maisha yako na huhitaji kuwa na vikwazo...

Kwako mwanaume

 *Kwako Mwanaume!!! Utapoteza Mke Kwa Umasikini Unaonuk Ukiwa huna kazi, huna biashara, huna hela na huna namna ya kupata hela "mbele giza na nyuma giza" na wewe ni baba wa familia, mtafute mwanaume mwenzako unayemuamini awe ndugu au rafiki mkae msaidiane mawazo au namna ya kufanya kabla haujamwambia mkeo.  Hakuna kitu wanawake wengi "wa sasa" hivi hasa wa mjini "vijijini sio sana" wanachanganyikiwa wanapogundua "baba wa familia" yaani "provider" huna mbele wala nyuma na huna majibu ya umasikini unaonukia. Unaweza "ukampoteza" au akaomba ushauri "kwa watu wasiojulikana" na kupata "majibu yasiyojulikana". Usiposoma "between lines" unaweza usinielewe lakini kuna siku utanikumbuka

Kuajiriwa ni utumwa?

Karibu kweny makala hii ya jifunzekitu natumaini wewe ni mzima wa afya kabisa karibu tuanze madaaaa..  Vitu vya kukuingizia kipato huwezi kuvijua na kuvifanya kwa kuvisoma tu hata wakikupa vitabu 1,000 au ukiangalia video 10,000. Kusoma sawa inakupa "basics" au msingi lakini lazima uanze kuvifanya "on job training" na "performance" Ule msemo "experience is the best teacher" ni ukweli 💯. Hata kama hutaki kukosea basi uwe pembeni ya mtu anayefanya hicho kitu bega kwa bega, mguu kwa mguu kama mapacha walioungana. Na bado usipofanya kuna mahali utakwama tu! Ukichunguza utagundua wafanyabiashara wenye maduka Ilala au Mwenge walikuwa wameajiriwa maduka ya kariakoo. Iwe ni kuuza "spare" za magari au nguo. Wenye "clinics" nyingi mtaani walikuwa wameajiriwa Muhimbili au Mwananyamala! Hii ina maana kubwa sana kwamba usidharau ajira hata kidogo. Hata kama una mshahara kidogo heshimu sana kazi yako na mheshimu sana mwajiri wako. Tena kuw...
 SHERIA TATU ZA UTAJIRI         Karibu sana kwa kupata mda mzuri wa kuweza kujifunza kitu kipya katika makala hii amabayo nimekuandalia wewe msomaji wangu     Tuendeelee........    Duniani pote kila kitu kina sheri ambazo zinawekwa au zinatumika ili anaezifuata afike katika namna bora kiujumla sheria zipo nyingi sana natumaini wewe msomaji wangu unazijua na unazisikia pia na ijulikane kuwa sheria sio amri apana bali nikama kiongozi cha kufuata jambo fulani sasa basi katika kufanikiwa katika fedha na kuweza kuwa na uhuru wa kifedha pia kuna sheria zake    Je sheria hizo ni zipi sasa izo apo chini   .MAKE MONEY . USE MONEY TO MAKE MORE MONEY . REPEAT hizo ndiyo sheria zetu tatu za kuweza kukusaidia uweze kufanikiwa na kuondokana na umasikini kabisa kwa kuzifuata sheria hizo tatu ambazo matajiri wengi duniani pote hutumia mbinu hizi kufanikiwa na kuzidi kuwa na uhuru wa kifedha kwa maan wanafata sheria hizi na hawawez kukuam...

Jambo la kufanya uweze kufanikiwa katika jamii yako

 uweze kuwa na pesa nyingi unatakiwa kuwatazama watu wanaokuzunguka kwa jicho la tatu, huku ukifikiri ni kwa namna gani watu hao watavyokupa pesa zao. Ili jambo hilo liweze kutekelezeka hatimaye kuchukua pesa za watu hao wanaokuzunguka unatakiwa kuangalia changamoto na matatizo yanayowasonga watu hao kisha watafutie majibu ya changamoto hizo zinazowasonga. Ukifanya hivyo ni lazima watu hao watakupa pesa tu, kila palipo na changamoto fulani ndipo sehemu palipo na fedha zako, hivyo jifunze kuwa mtafuta suluhisho la matatizo ya watu ili uweze kupata fedha zaidi. 

Jinsi ya kumfanya mwenzi wako akupende zaidi kwa limbwata rahisi tu

ningependa kuwaletea namna unaweza kumfanya mumeo au mkeo au mtu ulienae katika mahusiano aweze kukupenda sana kupitiliza zaidi ya hapo awali. Aidha, nitoe angalizo tu ikiwa utahitaji kufanya limbwata hili hakikisha na wewe unampenda vilivyo huyo mwenza wako ili baadae usije kumuona karaha. Hivyo basi, Fatilia namna ya kutengeneza limbwata hili ukiwa mwenyewe. MAHITAJI, Nywele za sehem ya siri (Mavu*i) - yawe yako mwenyewe Kucha za vidole vyote vya mikononi na miguuni Chungu cheusi Moto Mlangami Unga wa mweunge Juice / Chai au maji NAMNA YA KUFANYA 1. Nyoa nywele zako za sehemu ya siri kisha kata kucha za miguuni na mikononi  2. Weka chungu chako katika moto, hakikisha kimepata moto haswa kisha weka Nyweli pamoja na kucha hizo. 3. Kaanga hadi utapoona unga mweusi, kisha utaepua na kuchanganya na dawa hizi; 4. Kaanga kamba la mlangami upate usila kisha changanya na unga wa mweunge. (Hakikisha dawa hizi umechanganya unga wa hizo kucha na mavu*i). Tumia mchanganyiko huo kumuwekea kati...

Dawa ya kumtibu mgonjwawa kichaaa kwa siku 20-40 tu

Naposema mgonjwa wa kichaa na maanisha mtu aliezaliwa mzima kabisa na akili zake timamu na baadae kuugua ukichaa kwa sababu yoyote ile. Hivyo ninae mmaanisha hapa si MLEMAVU WA AKILI!!  Hivyo basi, ili Kumsaidia mtu huyo aliepatwa na ugonjwa wa kichaa unatakiwa ufate mambo hayo! ANDAA  Jumba la konokono Bangi na kisamvu MATAYARISHO Changanya KISAMVU NA BANGI Twanga pamoja hadi liwe laini kabisa kisha tia kwenye hilo. Jumba la konokono baada ya hapo Jaza Mkojo Katika hilo JUMBA Kisha Mnyweshe Mgonjwaa Asubuhi na Jioni! Katika kipindi chote cha tiba Haikisha Maji anayotumia mgonjwa kunywa na kuoga yasiwe ya Bomba wala MTO unao tiririsha maji Bali yawe ya kisima Tulivu kabisaa!! Fanya ndani ya siku 20-40, Inshallah Mgonjwa wako atakua Amepona kabisa

Jini wa wanaosaidia katika michezo ya ku bet

Huenda ukawa unapitia katika hali ya sintofahamu katika mambo yako ya kamali na hususani michezo ya kubahatisha maarufu Kama betting. Pengine miaka imeenda na tangu uanze kubet haujawahi kushinda (kula) pesa yoyote ya maana bali umeishia kuwatajirisha tu wenye makampuni. Ili uweze kuibuka mshindi wa bingo kubwa zaidi unahitaji usaidizi wa viumbe. Ni kwa utashi wako tu.  kuna majini au majini maalumu kabisa kwa ajili ya kazi hiyo na humpa ushindi yule aliye rafiki yao. Yupo jini anaitwa Minoson. Wengine humuita Clauneck na majina mengine mengi mengi tu, kwahiyo hajulikani kwa moja pekee kwani kila mtaalamu huja na majina yake kuonyesha utofauti wake ila kiumbe ni huyo huyo tu mmoja.  Minoson au Claunejinack ni moja kati ya majini watumishi wenye nguvu kabisa katika tabaka za majini 72 wafalme au wenye uwezo, mamlaka na asili ya pesa.  Kawenye makundi ya majini, Minoson yupo kwenye kundi la mashetani na yupo karibu zaidi na Lucifer. Yeye pamoja na washirika wake wana watu...

U. T. I sugu na matibabu yake

Ikiwa kwa muda mrefu umekuwa ukisumbuliwa na U.T.I bila mafanikio ya kupona, au imekuwa ni yenye kujirudia mara kwa mara basi hapa tunakushauri utumie dawa hii ya asili na utapona ugonjwa huu moja kwa moja. MAHITAJI NA MATUMIZI Majani 7 - 10 ya mlonge Chemsha majani hayo kwa muda wa dakika 5 - 7 Tumia kunywa kikombe kidogo cha chai kutwa mara tatu Kunywa kwa muda wa siku 2 - 3 utakua umepona kabisa.

Usomaji nyota Aliamisi 11/4/2024

SAMAKI Umelindwa sana dhidi ya hali zozote mbaya na watu wabaya. Je, unatarajia mazuri kutoka kwa watu ambao wamekuwa wakikutendea vibaya? Hao hawana nia yoyote nzuri kutoka kwako, wanahitaji tu kitu kutoka kwako. Mtu atakiri kitu kwako akiwa amelewa, nadhani mtu huyu amekuwa na wewe kwa miezi. Mtu ambaye aliondoka kutoka kwako tangu mwezi wa tano (May) mwaka jana anarudi mwezi huu wa tano unaokuja.  NDOO Usiruhusu mtu yeyote au kitu chochote kikuwekee kikomo au kikuzuie. Ulizaliwa kuwa mkuu. Ni wakati wa kuingia katika uwezo wako. Ondoa mawazo yako kichwani, acha kuruhusu wengine wakuambie kile unachoweza kufanya, inuka na ufanye una uwezo wa kufanya chochote. Unaongozwa kuelekea kwenye mabadiliko ya maisha. Yatakuwa makubwa na mazuri.  MBUZI Nahitaji kukukumbusha kwamba kwa vile ni vizuri kuwa na watu karibu nawe, familia, marafiki. Mtu muhimu zaidi katika maisha yako ni wewe mwenyewe. Jilinde kwa gharama zote. Kamwe usijidhuru we mwenyewe kwa kujaribu kuokoa wengine. MSHALE...

Jitibu nguvu za kiume uwe rijali kweli kwa siku 30 tu

  njia na dawa kadha wa kadha Mujarrabu kwa ajili ya kukufanya uwe kidume haswa unaposhiriki tendo la ndoa kama ilivyokwisha elezwa huko nyuma. Zipo pia sababu mbalimbali zinazoweza kupelekea ukosefu wa nguvu za kiume, sitozielezea sana kwani nimekwishazielezea katika makala za nyuma. Hivyo hapa tutaelekezana dawa hii mujjarabu katika kutatua tatizo la nguvu za kiume hata kama una miaka 100. MAHITAJI: Mayai ya kienyeji mawili Habbat Soda (Unga) Kijiko kimoja Kitunguu saum KUANDAA Vunja mayai mawili kisha koroga vizuri Weka kijiko kikubwa kimoja cha unga wa habbat Soda. Saga kitunguu swaumu aghalabu punje 20 na uchanganye katika mchanganyiko Koroga hadi vichanganyike hasa. MATUMIZI Kunywa kutwa mara mbili Asubuhi kabla hujala chochote na wakati wa kulala Tumia ndani ya siku 30 pekee hakika utaona maajabu ya dawa hiyo.

Dawa ya kutibu vidonda vya tumbo kabisaa

 Unga wa habbat Souda vijiko vitatu (3) vidogo Maya mawili ya kuku wa kienyeji Asali mbichi nusu lita MATAYARISHO NA MATUMIZI Chukua Unga wa habbat Souda vijiko vitatu Chukua viini vya mayai ya kienyeji Changanya katika Asali  MATUMIZI Kunywa mchanganyiko huo kutwa mara mbili (Asubuhi na jioni) kwa muda wa wiki mbili.      Usisahau ku comment kurudisha feedback 

Tatizo linalokumba watu wengi

Moja kati ya tatizo kubwa ambalo huwakumba watu wengi hususani suala kuanzisha biashara ni pamoja na kufikiria kuanzisha biashara hizo wakiwa na mitaji mikubwa sana. Unakuta mtu uwezo wake ni mdogo, ila hana uwezo wa kulitimiza wazo hilo mwisho wa siku mtu huyu anaacha kabisa kufanya au kutimiza wazo hilo kwa sababu uwezo wake ni mdogo. Idadi ya watu ambao huwa wanakumbwa na tatizo hili ni wengi sana. Hivyo ninachotaka kukuambia siku ya leo ni kwamba usiogope kuanzisha biashara au jambo fulani kwa sababu ya ukubwa wa mtaji wa kuanzisha jambo hilo bali unachopaswa kuelewa ni kwamba, kila kitu ambacho unakiona leo hii katika ukubwa fulani kumbuka kitu hicho kilianza na hatua ya chini sana. Kama unataka kuanza kufanya jambo fulani basi ni vyema ukaanzia hapo ulipo na pia anza na kile ulichonacho, kwa sababu kama huwezi kuanza kwa hatua ndogo, basi huwezi kufikia hatua kubwa zile ambazo unazitaka. END      ASANTE SANA KWA MDA WAKO MUNGU AKUBARIKI 🙏🙏

Makosa 9 ambayo yanakufanya usifikie katika mafanikio yako kila siku

 yapo makosa  yamekufanya unashindwa kufikia viwango vile vikubwa vya mafanikio ulivyokusudia. Na makosa hayo hutaki yajirudie kwako, na hutaki mwingine akutane nayo. Katika makala hii inakuonyesha makosa hayo kwa wazi. 1. Kutokuthubutu, wakati una uwezo wa kuthubutu kufanya hicho unachotakiwa kukifanya na kikakupa mafanikio makubwa. 2. Kutokujifunza elimu sahihi ya fedha na mafanikio mapema, ni kosa ambalo ukilifanya utalijutia sana maishani baadae.  3. Kufanya biashara ambayo una hadithiwa inalipa na wakati wewe huijui na hujawahi kuifanya na unaingiza pesa za kutosha.  4. Kuharibu mahusiano ya watu, eidha yawe ya kibiashara au kimapenzi. 5. Kuwa na marafiki ambao sio SAHIHI kwenye maisha yako. 6. Kufanya maamuzi yasiyo sahihi kabla hujafikiria vya kutosha.  7. Kuwaamini watu ambao hukustahili kuwaamini na ukaamua kuwaelezea kila kitu. Kujiachia sana kwa watu sio kuzuri. 8. Kutokujua kwamba mtaji si pesa tu, hata uaminifu nao ni mtaji mzuri sana, kama ukiutumi...

Namna ya kutumia bure apps zenye pro features mf. Netflix, Adobe, Inshot.

Kwanza Nianze na TAHADHARI kwa Wenye Simu za iPhone na Wenye Simu za Android zilizo chini ya Android 5. Hichi Kipengele kidogo huenda Kikawaletea Shida. SASA TUANZE SOMO. .... Creators na Graphics Designer wengi Wanateseka na Apps zenye Kudai Malipo katika Baadhi ya Features mf. Mtumiaji wa PicsArt hawezi Pata Effects zote bila Kulipia (Pro) sasa leo acha tulimalize hilo. Kuna Website moja ya Jamaa wanajiita MODYOLO CYBERS wameweka Apps nyingi zenye Pro Features na Wameondoa hizo Pro/Premium/VIP katika Hizo App yaani unatumia kila Kitu Bure na Wamefunga Ads (Matangazo) katika App hizo kwahiyo Mwisho wa Siku hakuna Cha Kumbughuzi Editor au Creator. Ingia Katika Website yao (https://modyolo.com) Upande wa Juu Kulia Utaona Kisanduku Cha Kusearch, kiguse na Andika App yako unayoitaka ambayo una Uhakika Kabisa Ina Pro Features au huwa inadai Hela katika Baadhi ya FEATURES Endelea...  ZINGATIA HILI: ... Hakikisha Unafuta App ambayo ipo katika simu yako kwanza kabla ya KuInstall App Fana...

Haya ndiyo maswali unapaswa kujiuliza kila siku

Nimekuja Duniani kufanya nini na ninatakiwa niache alama gani.? Mithali 29: 18 [Pasipo maono watu huangamia bari ana heri mtu yule aishikaye sheria] Maono -ni sheria Unatakiwa uiheshimu na uizingatie, ukikiuka kuna madhara yake. Maombilezo 3: 27 Nivyema kwa mtu kubeba nira/ mzigo wake akiwa badi kijana. Kuna watu wameandaliwa na adui kwa ajili ya kuua kitu ambacho umekibeba, kuna watu pia wametumwa kuwa maadui wa maono yako. Kuna watu ambao huwapendi ila wameletwa kwenye maisha yako kukusaidia kujiandaa.  Kuna mambo ambayo yatakuletea maumivu ila Mungu anajua yatakuwa na faida hapo badae.. Unapo zipitia unaweza usielewe kabisa kwanini Mungu ameziruhusu ila Mungu anajua kwa nini unazipitia  je malengo yako ni kuwa nani badae?         apa ndipo mahali ambapo mwanadamu au mtu yoyote unapaswa kutulia chini sana na kufikiria kwa kina juu ya future yako ya badae je unasoma tu ili ukamilishe Elimu au sera iliyowekwa na serekali ama ni kwa ajili ya ndoto zako ...

SABABU INAYO KUFANYA URUDI NYUMA KIMAFANIKIO KILA SIKU HIZI HAPA

 wakati inatokea mambo yako yanaenda vizuri, ghafla changomoto inatokea na kukurudisha nyuma kabisa.  Je, ulishawahi kujiuliza kwa nini hali hiyo inatokea kwako, na pengine wapi unakosea sana hadi iwe hivyo kwako wewe? Kwa mfano, utakuta kipato chako kinaanza kukua, ila kuna jambo linajitokeza na unajikuta unatumia pesa zote. Unakuta ni kweli umeanza mahusiano yako mapya vizuri, lakini ghafla kuna kitu kinaingilia na kuharibu mahusiano hayo. Unakuta umeanza biashara yako vizuri, lakini ghafla zinatokea changamoto ambazo zinaharibu kabisa biashara hiyo na kuiua. Unakuwa ni kama mtu ambae unaenda hatua tatu mbele, lakini unarudi hatua tano nyuma. Kitu hiki kinatokea sana kwa wengi. Kuna wakati unakuwa una waza una mkosi? lakini unachotakiwa kujua upo kwenye changamoto inayosababishwa na wewe. Hakuna mkosi wala laana uliyonayo, unatakiwa ujichunguze ni wapi unakosea sana hadi iwe hivyo kwako. Kama usipojipa umakini wa kujichunguza na kuangalia hasa sababu ni nini, basi utaishi...

NAMNA YA UMASIKINI UNAVYOTENGEZWA

 Chukua hii, Mara nyingi umaskini wa mtu binafsi huwa hautokani na kipato kidogo cha mtu huyo, bali hutokana na jinsi mtu huyo anavyotumia zaidi ya kipato hicho. Watu wengi pamoja na udogo wa vipato vyetu lakini matumizi yetu yamekuwa ni makubwa zaidi ya kile tunachopata. Kama unapata shilingi 100 basi matumizi yako yatakuwa ni shilingi 200, yaani upo tayari kukopa ili kukidhi hata vitu visivyo vya msingi. Wakati mwingine kitendo hiki cha kutumia zaidi ya vipato vyetu tulivyonavyo ndivyo vinavyotufanya tuendelee kuwa maskini kila siku na kila wakati. Hivyo ikiwa unataka kufikia kilele cha mafanikio yako epuka sana kutumia pesa zaidi ya kipato chako.